January 22, 2024

Day

MVTTC & NIT
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kupitia Chuo cha Ualimu wa Ufundi Stadi Morogoro (MVTTC) wametia saini hati ya makubaliano na Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), kuanzisha ushirikiano wa utoaji wa mafunzo yanayolenga kukabiliana na changamoto ya kukua kwa mahitaji ya walimu wa ufundi na ufundi stadi nchini. Makubaliano hayo yamesainiwa...
Read More