News and Announcements

Category

MVTTC YATAKIWA KUPANUA WIGO WA MAFUNZO KUKABILIANA NA ONGEZEKO LA MAHITAJI Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Dkt Franklin Rwezimula, amekitaka Chuo cha Ualimu wa Ufundi Stadi Morogoro (MVTTC) kupanua wigo wake wa udahili na kuboresha utoaji wa mafunzo ili kiweze kuwa kituo mahsusi cha kutoa walimu mahiri na wa kutosha...
Read More
[real3dflipbook pdf=”https://www.mvttc.ac.tz/wp-content/uploads/2024/03/TANGAZO-MVTTC-MAHAFALI-02.pdf” id=”2″ mode=”lightbox”]
Read More
VETA
VETA, KIST kushirikiana kuimarisha utoaji wa Mafunzo ya Ualimu wa Ufundi na Ufundi Stadi ili kuzalisha wahitimu mahiri. Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA), kupitia Chuo cha Ualimu wa Ufundi Stadi Morogoro (MVTTC), wametia saini hati ya makubaliano ya ushirikiano na Taasisi ya Karume ya Sayansi na Teknolojia (KIST) ya Zanzibar, lengo...
Read More
MVTTC & NIT
Mamlaka ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi (VETA) kupitia Chuo cha Ualimu wa Ufundi Stadi Morogoro (MVTTC) wametia saini hati ya makubaliano na Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), kuanzisha ushirikiano wa utoaji wa mafunzo yanayolenga kukabiliana na changamoto ya kukua kwa mahitaji ya walimu wa ufundi na ufundi stadi nchini. Makubaliano hayo yamesainiwa...
Read More
Selected Applicants for Certificate of Assistant Vocational Teacher for Academic Year 2023-2024 Third Batch
Read More
Selected Applicants for Certificate of Assistant Vocational Teacher for Academic Year 2023-2024 Second Batch Selected Applicants for Technician Certificate in Technical and Vocational Teacher Education for Academic Year 2023-2024 Second Batch
Read More
CAVT Incampus Second Semester Assessment Results September Intake 2022-2023 CAVT ODeL Block III and IV Retake and Supplementary Assessment Results March Intake 2022-2023 CAVT ODeL Block III Assessment Results September Intake 2022-2023 Ordinary Diploma in TVTE Second Semester Assessment Results September Intake 2022-2023 Technician Certificate in TVTE Second Semester Assessment Results September Intake 2022-2023
Read More
Joining Instructions for Certificate of Assistant Vocational Teacher Programme 2023-2024 Joining Instructions for Ordinary Diploma in Technical and Vocational Teacher Education Programme 2023-2024
Read More
Selected Applicants for Certificate of Assistant Vocational Teacher for Academic Year 2023-2024 First Batch Selected Applicants for Technician Certificate in TVTE for Academic Year 2023-2024 First Batch
Read More
Fee Structure for Academic Year 2023-2024 Medical Examination Form
Read More
1 2 3 4